Mahali pa hukumu upo uovu,Na mahali pa haki upo udhalimu.
SWALI: Huu mstari una maana gani? Mhubiri 3:16-17 “Zaidi ya hayo,nikaona tena chini ya jua ya kwamba,Mahali pa hukumu upo uovu,Na mahali pa haki upo udhalimu.17 Nikasema moyoni mwangu,Mungu atawahukumu wenye haki na wasio haki, kwa kuwa kuna wakati huko kwa kila kusudi na kwa kila kazi”. JIBU: Hizi ni hekima zilizoandikwa na mfalme Sulemani … Continue reading Mahali pa hukumu upo uovu,Na mahali pa haki upo udhalimu.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed