DAKIKA MOJA TU, INAKUFANYA UMWAMINI SHETANI?

Luka 4:5 “ Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu KWA DAKIKA MOJA. 6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo”. Hilo ni moja ya jaribu shetani alilomletea Bwana kule jangwani.. Lakini jiulize ni kwa nini iwe kwa dakika moja?, kwanini … Continue reading DAKIKA MOJA TU, INAKUFANYA UMWAMINI SHETANI?