USIPUNGUZE MAOMBI.

Katika Maisha usijaribu kufanya kosa la kupunguza maombi…Ni heri ukapunguza muda wa kufanya mambo mengine ambayo unaona ni ya muhimu lakini usipunguze kuomba hata kidogo!..Kama tayari ulishaanza kuwa muombaji, halafu ukaanza kupunguza unamtengenezea adui nafasi ya kufanya uharibifu mkubwa sana katika maisha yako. Kuna siri moja Bwana aliwaambia wanafunzi wake kuhusu maombi.. alisema “KESHENI, MWOMBE, … Continue reading USIPUNGUZE MAOMBI.