TUPO KATIKA ZAMU YA NNE YA MWISHO.

Umewahi kujiuliza Zamu ya nne ni nini? Kama tunavyoisoma katika Mathayo 14:25? Tusome, Mathayo 14:25 “Hata wakati wa ZAMU YA NNE ya usiku Yesu akawaendea, akienda kwa miguu juu ya bahari. 26 Wanafunzi walipomwona akienda juu ya bahari, wakafadhaika, wakisema, Ni kivuli; wakapiga yowe kwa hofu”. Miji ya zamani ilivyojengwa ni tofauti na miji za … Continue reading TUPO KATIKA ZAMU YA NNE YA MWISHO.