UFALME WAKO UJE.

Shalom, Bwana Yesu alituambia tusalipo tuseme hivi.. Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, UFALME WAKO UJE,.. Ni kweli, tunajua kuwa siku moja ufalme wake utakuja duniani..Lakini upande wa pili wa shilingi yaani sisi tunaousubiria ufalme huo unadhani tungepaswa tuwe katika hali gani?..Nadhani ulishawahi kujikuta katika hali ya kumsubiria mtu au kitu mahali Fulani halafu … Continue reading UFALME WAKO UJE.