KWANINI NI LAZIMA TUFE KWA HABARI YA DHAMBI?.

Tunapaswa tufe kwa habari ya dhambi kwasababu kitendo hicho ni kitendo  kinacholazimisha UHAI wetu kuhamishwa toka pale ulipokuwa kwanza na kwenda sehemu nyingine.. Kama vile tunavyojua siku zote kitu pekee kinachoweza kuuhamisha uhai wa mtu ni Kifo. Ukifa leo hii  Moja kwa moja uhai wako unatoka na kwenda kwingine.., Na hiyo inapelekea watu kutokutujua mahali … Continue reading KWANINI NI LAZIMA TUFE KWA HABARI YA DHAMBI?.