Je mtu akifa anakuwa hana dhambi tena?
Je ni kweli mtu akifa anakuwa hana dhambi tena kufuatia hili andiko Warumi 6:7 “kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.” JIBU: Bwana Yesu alisema haya maneno mahali Fulani… Yohana 8:21 “Basi akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta; nanyi MTAKUFA KATIKA DHAMBI yenu; mimi niendako ninyi hamwezi kuja……… 24 Kwa hiyo naliwaambieni ya … Continue reading Je mtu akifa anakuwa hana dhambi tena?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed