MATENDO YETU YANAPIMWA KATIKA MIZANI.

Ukisoma katika biblia utakuta kuna mahali Bwana alikuwa anasema maneno haya… 1Wafalme 16: 25 “Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, akatenda maovu kuliko wote waliomtangulia” 1Wafalme 16: 30 “Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana kuliko wote waliomtangulia”. Utaona hapo huyo Mfalme aliyeitwa Omri alifanya machukizo makubwa kuliko baba zake waliomtangulia…na … Continue reading MATENDO YETU YANAPIMWA KATIKA MIZANI.