JIHADHARI NA UPOTEVU ULIOACHIWA SASA.

Uovu unapoongezeka sana na kufikia kiwango ambacho watu hawataki tena kubadilika..biblia inatuambia Mungu huwa anaachilia nguvu ya upotevu ili waendelee kuuamini UONGO. Ile nguvu ya kumfanya mtu aone njia anayoiendea sio sawa inaondoka ndani yake na inakuja nguvu nyingine mpya ya kumfanya aone na kuamini asilimia mia kwamba yupo katika njia sahihi. Mstari huo tunausoma … Continue reading JIHADHARI NA UPOTEVU ULIOACHIWA SASA.