NA NENO LA BWANA LILIKUWA ADIMU SIKU ZILE.
Kuna wakati Israeli ilikuwa inapitia majira tofauti tofauti, Si kila wakati Mungu alikuwa anazungumza nao, ana kwa ana au kwa kupitia manabii au waamuzi, hapana Kuna wakati Mungu alikuwa hasemi chochote kabisa kwa kipindi fulani, Lakini hiyo haikumaanisha kuwa Mungu amewaacha au hafuatilii mienendo yao kabisa, bali ni jinsi tu yeye, alivyopenda na anafanya hivyo … Continue reading NA NENO LA BWANA LILIKUWA ADIMU SIKU ZILE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed