MAKEDONIA.

Makedonia ni mojawapo ya mataifa tunayoyasoma sana katika biblia, hususani katika ziara za mtume Paulo za kuhubiri injili katika mataifa. Makedonia ni taifa ambao mpaka sasa lipo, na linajulikana kwa jina hilo hilo makedonia (kwa kiingereza Macedonia), ┬átaifa hili lipo kusini mashariki mwa bara la Ulaya. Tunaweza kusoma habari zake, katika biblia na kuona kuwa … Continue reading MAKEDONIA.