MALAKI, NABII WA MWISHO KATIKA ISRAELI.
Nabii Malaki alikuwa ni nabii kama walivyo manabii wengine katika biblia kama nabii Yeremia, nabii Isaya, nabii Samweli, Nabii Danieli..Biblia haijaeleza maisha yake kama ilivyoelezea kwa baadhi ya manabii wengine kama Samweli, Yeremia na Danieli. Nabii Malaki ni nabii ambaye maisha yake hayapatikani katika vitabu vingine vya biblia. Na ndiye nabii wa mwisho aliyeandika kitabu … Continue reading MALAKI, NABII WA MWISHO KATIKA ISRAELI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed