Maana ya Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia”.(Warumi 9:13)

SWALI: Je Mungu anawapenda watu wote?..Kama ndivyo kwanini alisema mahali Fulani kwamba anamchukia Esau. (Warumi 9:13) JIBU: Tusome, Warumi 9:13 “Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia”. Chuki inayozungumziwa hapo sio chuki ya kinyongo, kama sisi wanadamu tulizonazo…Sisi wanadamu tukimchukia mtu “tunatamani hata Yule mtu afe au apate madhara Fulani mabaya”…Chuki ya namna hii ni … Continue reading Maana ya Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia”.(Warumi 9:13)