WAKATI WA BWANA KUKUVUSHA, NI LAZIMA ARUHUSU JESHI LA ADUI KUNYANYUKA.

Bwana Yesu asifiwe..karibu tujifunze Biblia. Leo tutajifunza kwa kifupi mojawapo ya njia Mungu anazotumia kutuharakisha kwenda kwenye mafanikio yetu. Kitu kimoja kinachotuzuia wengi wetu kusonga mbele ni HOFU…Chochote kile mtu afanyacho katika Maisha, endapo akiondoa hofu asilimia 100, basi ni rahisi sana kufanikiwa na kupiga hatua kubwa kwa haraka sana. Hata wafanyabiashara wengi waliofanikiwa kwa … Continue reading WAKATI WA BWANA KUKUVUSHA, NI LAZIMA ARUHUSU JESHI LA ADUI KUNYANYUKA.