Sala ya Toba na Rehema.

Ni jambo jema kutafuta sala ya toba na rehema, angali muda upo. Inawezekana umemkosea Mungu sana, na leo unatamani kujua kama ipo njia ya kumrudia yeye tena, inawezekana, umeua, au umetoka nje ya ndoa, au umetoa mimba, umemtukana Mungu, umeiba, umeenda kwa waganga, umewavunjia heshima wazazi wako, umeaudhi watu wengine n.k. Inawezekana pia wewe ni … Continue reading Sala ya Toba na Rehema.