THAWABU ZA SIRI, ZA WATAKATIFU MBINGUNI.

Tutakapofika kule ng’ambo zipo thawabu za aina mbili Mungu alizotuandalia, zipo thawabu ambazo zitajulikana na kila mmoja wetu, na zipo thawabu ambazo hatutazijua kila mtu isipokuwa hao watakaozipokea. Kwa mfano hata ukienda leo kwenye harusi, utagundua wale wanandoa huwa wanapokea aina mbili za zawadi, zipo zile ambazo zinatangazwa hadharani au zinaonekana pale, kwamfano mtu ataleta … Continue reading THAWABU ZA SIRI, ZA WATAKATIFU MBINGUNI.