Je! Lewiathani ni nani?

Lewiathani ni nani? Zaburi 104: 25 “Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai vidogo kwa vikubwa. 26 Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo LEWIATHANI ULIYEMWUMBA ACHEZE HUMO. 27 Hao wote wanakungoja Wewe, Uwape chakula chao kwa wakati wake” Vipo viumbe vingi vilivyopo ambavyo havijagunduliwa bado, na pia vipo baadhi ambavyo vilipotea … Continue reading Je! Lewiathani ni nani?