Ahadi za Mungu ni za kweli kabisa,.. Lakini tatizo kubwa linalotukabili sisi wanadamu ni kutokujua njia Mungu anazozitumia kutimiza ahadi zake. Na hiyo inawafanya watu wengi waishie kukata tamaa pale anapoona mbona ahadi za Mungu zimechelewa, pengine nimemkosea Mungu, au Hanisikii.. Fahamu kuwa wakati wa Mungu kutimiza ahadi zake, sio lazima uwe ule wakati ulioupanga … Continue reading AHADI ZA MUNGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed