MANENO ALIYOWEZA KUTAMKA YESU TU PEKE YAKE.

Yapo maneno ambayo huwezi kuzungumza, isipokuwa kwanza unaelewa vizuri ni nini unazungumza vinginevyo unaweza kujiweka kwenye kitanzi mwenyewe na kuingia matatizoni.. Kuna wakati Bwana aliwaambia wale watu wanaoshindana naye maneno haya… “Ni nani miongoni mwenu anishuhudiaye ya kuwa nina dhambi..”? (Yohana 8:46) Maneno haya si mepesi kabisa, Kumbuka juu kidogo tu kwenye sura hiyo hiyo … Continue reading MANENO ALIYOWEZA KUTAMKA YESU TU PEKE YAKE.