MAJONZI YA MTUME PAULO KWA NDUGU ZAKE.
Ukisoma kitabu cha Warumi sura ya 9, ya 10, na ya 11..utaona mambo mazito sana mtume Paulo aliyokuwa akiyazungumza juu ya ndugu zake wayahudi. Akieleza jinsi neema ya Mungu ilivyoondolewa kwao, kiasi kwamba hata wangehubiriwa vipi injili wasingeweza kuipokea. Chukua muda kwa wakati wako, pitia sura hizo kwa utulivu sana, ukisoma juu juu hutaona chochote, … Continue reading MAJONZI YA MTUME PAULO KWA NDUGU ZAKE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed