NGUVU YA SADAKA.

Ijue nguvu ya sadaka. Kuna nguvu ya kipekee  iliyo ndani ya sadaka ambayo watu wengi hawaifahamu. Mungu anaweza kweli akawa ni Rafiki yako mkubwa sana, anaweza kweli akawa anazungumza na wewe, na ukaisikia sauti yake, ikikwambia nimekusikia mwanangu na nitakupa kitu Fulani..Lakini ukashangaa kitu hicho hujakipata japokuwa alikuahidia kabisa atakuwa na wewe.. Hiyo ni kutokana … Continue reading NGUVU YA SADAKA.