Kuongozwa sala ya toba. Ikiwa leo upo tayari kufanya uamuzi wa kumgeukia Yesu Kristo, na kutaka akuokoe na kukusamehe dhambi zako kabisa, Basi ni uamuzi wa busara sana ambao, utaufurahia maisha yako yote, kama ilivyokuwa hata kwetu sisi. Kumbuka.. Kwa Yesu lipo tumaini la uzima wa milele. Kwa Yesu Unapata utulivu wa nafasi na faraja. … Continue reading KUONGOZWA SALA YA TOBA
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed