YESU AKALIA KWA SAUTI KUU.

Yesu akalia kwa sauti kuu.. Wengi tunajiuliza ni maneno gani aliyatoa Bwana Yesu pale msalabani alipolia kwa sauti ya juu namna hiyo? Embu tusome vifungu vyenyewe; Marko 15:34 “Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 35 Na baadhi yao waliosimama pale, … Continue reading YESU AKALIA KWA SAUTI KUU.