JIFUNZE KUJITOA KWA MUNGU NA KUWA MKARIBISHAJI.
Shalom, mtu wa Mungu.. karibu tujifunze biblia Neno la Mungu, ambalo ni mwanga wa njia yetu na taa iongozayo miguu yetu. Leo tujikumbushe umuhimu wa kuwa wakaribishaji, na wa kujitoa kuifanya kazi ya Mungu. Kipindi kirefu kidogo nimekuwa nikiwasiliana na binti mmoja humu facebook, ambaye anaishi kwao na wazazi wake, kiukweli ni binti anayempenda Mungu … Continue reading JIFUNZE KUJITOA KWA MUNGU NA KUWA MKARIBISHAJI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed