Neno la Mungu la leo ni lipi? Kwanza nakupongeza kwa kupenda kutafuta kujua Neno la Mungu la leo.. Bwana Yesu alisema kila atafutaye huona (Mathayo 7:8), Hivyo kwa kuwa na wewe umetafuta kujua Neno la Mungu la leo kwako, basi ni hakika kuwa lipo jambo jipya Mungu atakufundisha. Sio kwa bahati mbaya umefika mahali hapa., … Continue reading Neno la Mungu la leo.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed