Neno la Mungu ni upanga.

Ni kwa namna gani Neno la Mungu ni upanga? Biblia haisemi Neno la Mungu ni upanga tu, hapana bali inasema  ni zaidi ya upanga wowote mkali ukatao kuwili..