Ni kwa namna gani Neno la Mungu ni upanga? Biblia haisemi Neno la Mungu ni upanga tu, hapana bali inasema ni zaidi ya upanga wowote mkali ukatao kuwili.. Waebrania 4:12 “Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, … Continue reading Neno la Mungu ni upanga.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed