Mungu aliposema Yesu ni mwanawe pekee, alimaanisha hakuwa na wengine?
SWALI: Mungu aliposema Yesu ni mwanawe pekee, Je! Ina maana hakuwa na wana wengine au hana wana wengine zaidi yake? JIBU: Tusome.. Yohana 3:16 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele”. Hivyo ndivyo inavyotafsiriwa na watu wengi na madhehebu mengi … Continue reading Mungu aliposema Yesu ni mwanawe pekee, alimaanisha hakuwa na wengine?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed