WEWE NI BWANA UNIPONYAYE.

SALA FUPI YA UPONYAJI! Zaburi 107:17 “Wapumbavu, kwa sababu ya ukosaji wao, Na kwa sababu ya maovu yao, hujitesa. 18 Nafsi zao zachukia kila namna ya chakula, Wameyakaribia malango ya mauti. 19 Wakamlilia Bwana katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. 20 Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao”. (Uimbe wimbo huu uliotungwa na … Continue reading WEWE NI BWANA UNIPONYAYE.