USINIPITE MWOKOZI Lyrics

Usinipite mwokozi Lyrics| Swahili, – “Pass me not, O Gentle Savior” Historia ya nyimbo Usinipite mwokozi. Wimbo huu uliandikwa mwaka 1868, na mwanamke wa kimarekani aliyeitwa Fanny Crosby. Mwanamke huyu mkristo alizaliwa akiwa mzima lakini wiki 8 baada ya kuzaliwa kwake alipatwa na opofu, ambao ulidumu mpaka kufa kwake, lakini katika maisha yake yote aliyoishi … Continue reading USINIPITE MWOKOZI Lyrics