IPELEKE SADAKA YAKO MAHALI SAHIHI,ILI UBARIKIWE.
Karibu tujikumbushe mambo machache, ambayo yanaonekana ni madogo lakini ni ya umuhimu sana, katika mapambano ya Imani. Kuna tofauti ya sadaka na msaada. Unapomsaidia maskini huo ni msaada, na una thawabu zake mbele za Mungu..lakini sadaka ina matokeo makubwa zaidi kuliko msaada. Sadaka ni nini? Sadaka ni matoleo yoyote yanayohusisha madhababu!.. Katika agano la kale, … Continue reading IPELEKE SADAKA YAKO MAHALI SAHIHI,ILI UBARIKIWE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed