SWALI: Nimrodi ni nani? Na je! Alikuwa ni mtumishi wa Mungu? Nimrodi ni kitukuu cha Nuhu kwa kupitia uzao wa Hamu, Biblia inatuambia alianza kuwa mtu Hodari, na sio Hodari tu, bali alikuwa ni Hodari wa kuwinda mbele za Bwana, Mpaka enzi hizo ukatungwa msemo maarufu kwa jina lake (Soma Mwanzo 10:9), Hivyo aliendelea … Continue reading Nimrodi ni nani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed