Neno Korbani linamaanisha nini? (Marko 7:11)
SWALI: Neno “Korbani” linalozungumziwa katika Marko 7:11 lina maana gani? JIBU: Ili tupate picha nzuri ya Neno hilo embu tusome sehemu zote mbili zinazozungumzia jambo hilo hilo moja. Mathayo 15 :1-6 1 “Ndipo Mafarisayo na waandishi toka Yerusalemu walipomwendea Yesu wakisema, 2 Mbona wanafunzi wako huyahalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula. … Continue reading Neno Korbani linamaanisha nini? (Marko 7:11)
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed