SHUSHANI NGOMENI NI WAPI KWA SASA?

Shushani ngomeni ni sehemu gani kwasasa? Mji wa shushani/Susa kwasasa upo eneo linaloitwa Shush katika  nchi ya Iran. kabla wamedi na waajemi kuiangusha Babaeli, Shushani ulikuwa ni mji mkuu wa Elamu, ambao tunaona Danieli akiuzungumzia katika. Danieli 8:1 “Katika mwaka wa tatu wa kumiliki kwake mfalme Belshaza maono yalinitokea mimi, naam, mimi Danieli, baada ya … Continue reading SHUSHANI NGOMENI NI WAPI KWA SASA?