Bawabu (kwa kiingereza -Doorkeeper/Porter) ni nani katika biblia? Bawabu maana yake ni msimamzi wa mlangoni, anayefunga na kufungua, na anayeruhusu na kutoruhusu mtu au vitu kuingia, Hawa wanakuwa hususani katika mageti ya kuingilia miji mikubwa na kwenye majumba ya kifalme na mahekalu, 2Samweli 18:26 Kisha huyo mlinzi akaona mtu mwingine anapiga mbio; mlinzi akamwita bawabu, … Continue reading Bawabu ni nani/nini?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed