Nyama zilizosongolewa ni zipi?Je kunywa damu ni dhambi?

 Naomba kufahamu Nyama zilizosongolewa ni zipi?Je kunywa damu ni dhambi kwa Mkristo? Nyama zilizosongolewa ni nyama za wanyama ambao hawajachinjwa, na damu yao kumwagika chini. Kipindi kabla hata ya agano la kwanza(Kale) , Mungu tayari alikuwa ameshampa Nuhu maagizo kuwa asile nyama ya mnyama yoyote pamoja na damu yake ndani yake. Mwanzo 9:4 “Bali nyama … Continue reading Nyama zilizosongolewa ni zipi?Je kunywa damu ni dhambi?