NJIA MOJAWAPO YA KUPATA MSAADA KUTOKA KWA MUNGU.

Jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe. Ni neema za Mungu tumeiona siku nyingine, hivyo nakukaribisha katika kuyatafakari maandiko, ambayo ndio chakula cha roho zetu. Watu wengi tumekuwa tukitafuta msaada kutoka kwa Mungu wetu, jambo ambalo ni zuri sana, kwasababu hakuna pengine popote ambapo tunaweza kupata msaada, shetani kazi yake ni kutuharibu na si kutupa msaada. … Continue reading NJIA MOJAWAPO YA KUPATA MSAADA KUTOKA KWA MUNGU.