MUNGU HANA MBARAKA MMOJA TU!..MWAMINI.
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima, karibu tujifunze biblia. Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo.. Je! Una uhakika wa mambo yatakayokuja ambayo bado hujayaona wala kuyafikia?..Na kama ndio, je kwa kiwango gani?. Ili Imani yako ionekane kuwa kubwa ni lazima uwe na uwezo wa kuamini vitu visivyoweza kuaminika. Yaani uwe na … Continue reading MUNGU HANA MBARAKA MMOJA TU!..MWAMINI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed