Areopago ni nini? Kwanini mtume Paulo walimpeleka huko?

Areopago ni nini? Areopago ni baraza kuu la Waathene au mahali walipokutanika wakuu wa Athene. Kwa ajili ya kuzungumza mambo mbalimbali ya muhimu,kama vile kusikiliza   kesi zinazohusiana na mauaji au dini,  au kutoa hukumu, au kuchambua mambo mengine yenye uzito katika jamii. Eneo hili lilikuwa upande wa kaskazini magharibi mwa mji wa Athene,Ukigiriki, na lilijengwa … Continue reading Areopago ni nini? Kwanini mtume Paulo walimpeleka huko?