Baradhuli/Mabaradhuli ni nini au ni nani kwenye biblia?

Baradhuli ni nani/ ni nini kama lilivyotumika kwenye biblia? Kibiblia Baradhuli ni mtu asiyefaa, mpumbavu sana, aliyevuka mipaka Ipo mistari kadha wa kadha