Jabari ni nini, kama linavyotumika kwenye biblia?

Jabari maana yake ni mtu hodari, asiyeogopa, shujaa. Isaya 49:24 “Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka? 25 Naam, Bwana asema hivi, Hata jeshi la wafungwa wake aliye hodari watapokonywa mikononi mwake, na mateka yake aliye JABARI wataokoka; kwa maana nitateta na yeye atetaye nawe, nami nitawaletea wana wako … Continue reading Jabari ni nini, kama linavyotumika kwenye biblia?