Daawa ni nini kama tunavyosoma katika biblia?
Daawa ni madai, au mashitaka, malalamiko, au hukumu. Kwamfano pale mwenzako anapokukosea, au amekudhulumu, au amekutukana au amekufanyia jambo baya, na unataka kwenda kumshitaki , sasa hilo shitaka au madai ndio kwa jina lingine linaitwa Daawa. 1Wakorintho 6:1 “Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala … Continue reading Daawa ni nini kama tunavyosoma katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed