Neno beramu lina maana gani katika biblia?
Beramu ni nini? Beramu ni jina lingine la neno BENDERA. Hivyo mahali popote kwenye biblia unapolisoma neno hili basi fahamu kuwa linamaanisha bendera. Hesabu 1:52 “Na wana wa Israeli watazipanga hema zao, kila mtu katika marago yake mwenyewe, kila mtu hapo ilipo beramu yake mwenyewe, kama majeshi yao yalivyo”., Vipo vifungu vingi katika biblia, vinavyolitaja … Continue reading Neno beramu lina maana gani katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed