Kamsa ni nini kwenye biblia? (Sefania 1:16, Wimbo 3:8)

Kamsa ni nini? Kamsa ni Ukelele wa habari ya moto au vita (kwa lugha ya kiingereza-Battle cries) Vifungu hivyo vinaeleza Neno hilo; Wimbo 3:8 “Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya KAMSA ZA USIKU”.   Sefania 1:15 “Siku ile ni siku ya ghadhabu, Siku ya fadhaa na dhiki, … Continue reading Kamsa ni nini kwenye biblia? (Sefania 1:16, Wimbo 3:8)