Mkatale ni nini katika biblia? (Matendo 16:24)

Mkatale ni nini? Mkatale ni pingu ya kufungia mtu, inaweza ikawa ya chuma, au mbao nene. Na huwa inafungwa sana sana miguuni, lakini pia shingoni au mikono