Pomboo ni nini katika biblia?(Kutoka 25:5, Ezekieli 16:10)

Pomboo ni nini? Pomboo ni aina ya samaki jamii ya nyangumi anayeishi baharini, Anajulikana kwa jina maarufu la DOLPHIN, Ni samaki anayezaa, pia ananyonyesh