TAFUTA KUIFANYA KAZI YA MUNGU KWA HUDUMA MUNGU ALIYOIWEKA NDANI YAKO.
Tunamtumikia Mungu kwa karama tulizopewa, na karama ndizo zinazozaa Huduma..Na Karama za Roho Mtakatifu zimefananishwa na viungo katika miili yetu. Maana yake tukijifunza kwa kina jinsi viungo vya miili yetu vinavyofanya kazi basi tutakuwa tumeelewa vyema pia jinsi karama za Roho zinavyotenda kazi. Warumi 12:4 “Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, … Continue reading TAFUTA KUIFANYA KAZI YA MUNGU KWA HUDUMA MUNGU ALIYOIWEKA NDANI YAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed