Rangi ya kaharabu ni ipi kibiblia(Ezekieli 1:4,27,8:2)?

Rangi ya kaharabani ni ipi? Rangi ya kaharabu ni rangi iliyo katikati ya Njano na machungwa, kwa lugha rahisi ya kueleweka wengi wanaiita Njano, japo si njano kabisa. Tazama picha. Hivi ni vifungu katika biblia vinavyoizungumzia rangi hiyo; Ezekieli 1:4 “Nikaona, na tazama, upepo wa dhoruba ulitoka upande wa kaskazini, wingu kubwa sana, pamoja na … Continue reading Rangi ya kaharabu ni ipi kibiblia(Ezekieli 1:4,27,8:2)?