Kuota unapigana na mtu.

Ndoto ya Kuota unapigana na mtu kuna inamaanisha nini? Ndoto hii inaweza ikawa na maana mbili, maana ya kwanza, ni kuwa upo katika mashindano, Na maana ya pili ni kuwa upo katika vita. Tukianzana na maana ya kwanza ambayo ni mashindano. Kwa namna ya kawaida, ikiwa kipo kitu Fulani ambacho kinathamani fulani, na wote mnakitamani … Continue reading Kuota unapigana na mtu.