Mkomamanga ni nini? Na katika biblia unawakilisha nini?

Mkomamanga ni nini? Komamanga ni tunda lenye mbegu ndogo ndogo nyingi ndani yake, ambalo linaliwa kwa kumumunywa mumunywa mbegu zake mpaka utamu wote uishe